Balozi Marmo akijadiliana jambo na wageni waliofika katika banda la Tanzania
Kutoka kulia: Mbunge wa Ngorongoro Mhe. Kaika Telele; Naibu Katibu Mkuu Nuru Millao; Balozi Philip Marmon a Mkurugenzi wa Utalii Ibrahimu Mussa katika banda la Tanzania. Aliyesimama nyuma ni Meneja Huduma za Utalii wa TANAPA Bw. Johnsone Manase.
Balozi
wa Tanzania nchini China Philip Marmo (wa pili kushoto) akisalimiana na
Mtanzania Egidius Kabitura katika banda la Tanzania kwenye maonyesho ya
utalii ya COTMM 2013 yaliyomalizika jana jijini Beijing China. Wengine
kutoka kulia ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Bi. Nuru
Millao na Mkurugenzi wa Idara ya Utalii Ibrahim Mussa.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Bi. Nuru Millao akisalimiana na wakalimani katika katika banda la Tanzania.
Wadau katika banda la Tanzania.
Mgeni huyu alifurahishwa na vazi la kimasai kutoka kwa Egidius Kabitura na kuamua kupiga naye picha katika banda la Tanzania.
No comments:
Post a Comment