HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, April 15, 2013

Jumatatu nyingine ya mapambano a.k.a blue Monday

Katika katiza katiza za Mtaa kwa Mtaa asubuhi hii ya Jumatatu,Kamera yetu ilifanikiwa kuinasa taswira ya mdau huyu aliekuwa amebeba shehena ya Mapipa (sijui yalikuwa na nini ndani yake) akitoka nayo maeneo ya Keko,Temeke.hii inaonyesha dhahiri kwamba siku ya Jumatatu kama ya leo ni siku ya mapambano na kuhangaika ili kuweza kujitafutia riziki.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad