Wafanyakazi wa Bar ya Saigon na mashabiki wakishangilia huku wakiwa wamembeba mpishi Mkuu wa Bar hiyo,Joseph Aluta mara baada ya kuibuka mabingwa katika fainali za mashindano ya Safari Lager Nyama Choma Mkoa wa Mbeya yaliyofanyika katika viwanja vya CCM Iromba mwishoni mwa wiki.
Mkuu
wa Wilaya wa Rungwe Mkoani Mbeya,Chrispin Meela (kulia)akimkabidhi
kitita cha shilingi milioni moja Mpishi Mkuu wa Bar ya Saigon, Joseph
Aluta mara baada ya kuibuka mabingwa katika fainali za mashindano ya
Safari Lager Nyama Choma Mkoa wa Mbeya yaliyofanyika katika viwanja vya
CCM Iromba mwishoni mwa wiki.Kushoto ni Mkurugenzi wa Bar ya Saigon,
Ally Mohamed na Meneja Mauzo wa rejareja wa Mkoa Mbeya, Michael Myinga.
No comments:
Post a Comment