Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Chambani Pemba, Marehemu Salim Hemed Khamis (CUF) ukishushwa kutoka kwenye ndege mara baada ya kuwasili.
Mwili ukibebwa tayari kwa kuelekea kwenye Mazishi.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar,Mh. Maalim Seif Shariff Hamad akiongea jambo na viongozi wengine wakati wa Mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Chambani Pemba, Marehemu Salim Hemed Khamis (CUF),aliefariki katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam juzi.
Taratibu za Mazishi zikiendelea.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar,Mh. Maalim Seif Shariff Hamad akiweka udongo kaburini.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiweka udongo kaburini.
Spika wa Bunge,Mh. Anne Makinda akisaini kitabu cha Maombolezo huku akishuhudiwa na Mbunge wa Jimbo la Gando (CUF),Mh. Khalifa Suleiman Khalifa.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akisaini kitabu cha Maombolezo.
Mwili ukielekea Makaburini.
Viongozi mbali mbali wakiongozwa na Spika wa Bunge,Mh. Anne Makinda wakisoma dua mbele ya Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu.Picha zote na Owen Mwandumbya,Bunge.
No comments:
Post a Comment