HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, March 30, 2013

UJENZI WA VYOO VYA KISASA KATIKA SHULE YA MSINGI UKWAMA WAKARIBIA KUMALIZIKA

Ujenzi wa vyoo vya kisasa katika shule ya msingi Ukwama wilayani makete mkoani Njombe ukiendelea kwa kasi kama unavyoonekana pichani.ujenzi huo umefadhiliwa na shirika la AMREF kwa kushirikiana na wananchi wa kijiji hicho.Picha na Edwin Moshi,Mtaa kwa Mtaa Blog-Makete.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad