Mama ntilie akikorofisha nguna (Ugali) mchana wa leo katika mgahawa wake uliopo eneo la Namanga,Msasani jijini Dar es Salaam tayari kwa mlaji.
Kitu cha Kabichi kikiandaliwa kwa ajili ya Mboga ya mgahawani hapo.
Ugali ukifungwa kwenye Mifuko ili usipoe kwa haraka.
No comments:
Post a Comment