Mhandisi Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, Gerald Urio (kushoto) akimpa maelezo Meya wa Manispaa hiyo, Yusuph Mwenda (kulia) aliyeambatana na viongozi mbalimbali wa Manispaa hiyo, Serikali za Mitaa na vyama vya siasa, karika kukagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Mto Ndumbwi, Mbezi Juu, Dar es Salaam wakati wa ziara ya Meya ya uzinduzi wa ujenzi huo mwishoni mwa wiki. Daraja hilo linajengwa kwa gharama ya shilingi milioni 211.
Mhandisi Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, Gerald Urio (alieinama) akimuonyesha kitu Meya wa Manispaa hiyo, Yusuph Mwenda (wa pili kulia) wakati wa kukagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Mto Ndumbwi, Mbezi Juu, Dar es Salaam wakati wa ziara ya Meya ya uzinduzi wa ujenzi huo mwishoni mwa wiki. Daraja hilo linajengwa kwa gharama ya shilingi milioni 211.
Mhandisi Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, Gerald Urio (wa pili kushoto) akimpa maelezo Meya wa Manispaa hiyo, Yusuph Mwenda (wa tatu kulia) aliyeambatana na viongozi mbalimbali wa Manispaa hiyo, Serikali za Mitaa na vyama vya siasa, kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Mto Ndumbwi, Mbezi Juu, Dar es Salaam wakati wa ziara ya Meya ya uzinduzi wa ujenzi huo mwishoni mwa wiki. Daraja hilo linajengwa kwa gharama ya shilingi milioni 211.

Mstahiki meya, Yusuph Mwenda pamoja na viongozi mbalimbali wa Kata, Serikali ya Mtaa na wa vyama vya siasa wakikagua ujenzi wa daraja hilo.
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Ndumbwi, Mbezi Juu, Salustian Kimario (wa pili kulia) akimpa maelezo Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda (wa tatu kulia) aliyeambatana na viongozi mbalimbali wa Manispaa hiyo na vyama vya siasa kuangalia maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Mto ndumbwi, Mbezi Juu, jijini Dar es Salaam wakati Meya huyo alipofanya ziara ya uzinduzi wa ujenzi huo, mwishoni mwa wiki.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akizungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Kata ya Mbezi Juu mara baada ya uzinduzi wa Daraja la Ndumbwi. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa CCm, Kata ya Mbezi Juu, Alhaj Issa Mwinyimbegu na Diwani wa Kata ya Hanansif, Abbas Tarimba.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Kata ya Mbezi Juu wakifuatilia kwa makini.
No comments:
Post a Comment