Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa
na mawaziri, wabunge na maofisa waandamizi wa wizara na wakala wa ujenzi
(TANRODS) pamoja na viongozi wa bodi ya wakandarasi akikata utepe kuzindua
rasmi ujenzi wa daraja hilo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wengine wakipozi na umoja wa wakandarasi wazalendo kutoka makampuni mbalimbali waliopewa kandarasi ya kujenga daraja hilo.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment