HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, January 8, 2013

Matumizi mabaya ya Barabara

Leo katika pita pita zangu za kuendeleza libeneke la Mtaa kwa Mtaa,nilikatiza mitaa hii ya Kawe Kanisani na kukutana na jamaa hawa wa Mikokoteni wakiendesha vyombo vyao hivyo bila hata ya utaratibu maalumu katika matumizi ya barabara kama waonyekanavyo pichani hapa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad