HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, January 8, 2013

RAIS KIKWETE AZINDUA MIRADI MIWILI MIKUBWA WILAYANI IGUNGA LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mradi wa Ujenzi wa daraja la kisasa katika eneo la Mbutu,Wilayani Igunga leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua mradi wa Chujio la maji safi kwa mji wa Igunga sehemu za Bulenya ambapo wakazi zaidi ya asilimia 70 wa mji huo watapata maji safi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia mashine ya kuchimbia mashimo ya nguzo za daraja kabla ya kwenda kukata utepe kwa kuashiria kuzindua ujenzi daraja la Mbutu,Wilayani Igunga leo.
Mkurugenzi Mkuu wa Tanroads,Eng. Patrick Mfugale  (alieshika maiki) akumuonyesha Rais Kikwete ramani  ya Mradi wa Ujenzi wa daraja la kisasa katika eneo la Mbutu,Wilayani Igunga.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na kutoa ushauri kwa kundi la vijana 10 ambao baada ya kumaliza chuo kikuu wamejikusanya na kuunda kikundi cha ujasiriamali mjini Igunga wakijishugulisha na Kilimo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua sehemu ya vyanzo vya mradi mpya wa maji safi kwa mji wa Igunga sehemu za Bulenya ambapo wakazi asilimia 70 wa mji huo watapata maji safi
Wananchi wakivuka katika sehemu itayojengwa daraja la kisasa eneo la Mbutu,Igunga Mkoani Tabora ambao ujenzi wake umezinduliwa leo na Rais Jakaya Mrisho Kikwete, hatua ambayo itatatua kabisa tatizo la miundombinu.PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad