Shehena ya takataka zikiwa zimerundikwa eneo la Bakhresa Manzese jijini Dar es Salaam, bila ya kuondolewa na kuchafua hali ya hewa ya eneo hilo huku wahusika wakipita bila ya kujali. |
Lakini pamoja nakuwepo kwa mrundikano huo wa takataka bado wafanyabiashara wa malori wanaendelea kukaa hapo kwani ndio kijiwe chao na hawajui hatua yoyote ya kuchukua. |
No comments:
Post a Comment