HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, December 31, 2012

FULL SHANGWE BLOG NA TUZO YA TANZANIA TOURISM BOARD WEB TRAVELMAGAZINE AWARD 2011

Mkurugenzi wa Fullshangweblog.com Bw. John Bukuku kushoto akipokea tuzo hiyo kutoka kwa Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki katika maonyesho ya World Travel Market (WTM)Nchini Uingereza mwezi Oktoba mwaka huu katikati ni Meneja Masoko wa Bodi ya Utaii Tanzania TTB Bw. Geofrey Meena.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad