HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, December 31, 2012

KENSA HUANZA POLEPOLE HATIMAE HUSAMBAA MWILIMZIMA!

Kasi ya kurejea kwa wafanyabiashara ndogondogo kwenye maeneo ya Ubungo ni kubwa, na inaweza ikaongezeka na kurudi kama zamani muda si mrefu, pichani ni hali halisi ilivyo hivi leo kama ilivyonaswa na kamera yetu

Kwenye eneo hili kama unaelekea Mwenge pale darajani barabara ya watembea kwa miguu hufunga kabisa kutokana na bidhaa hizo kupangwa kwenye barabara hiyo.

Hapa ni kwenye eneo la Karibu na mabasi yaendayo mikoani Ubungo Bus Terminal (UBT).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad