HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, December 7, 2012

Maegesho ya Magari Kariakoo hivi sasa ni balaa tupu.....!!!

 Leo katika pita pita zangu za kuendeleza Libeneke la Mtaa Kwa Mtaa,nikajikuta nimeibukia katika eneo la Makutano ya Mtaa wa Likoma na Aggrey,Kariakoo jijini Dar.ila nikapatwa na mshangao muendelezo mara baada ya kuona gari hizi (pichani) zikiwa zimeegeshwa kinamna hii.nikajiuliza kuwa inamaana siku hizi Kariakoo kuna magari mengi kiasi kwamba hata maegesho yakekuwa ni hafifu??sikuwa na jibu zaidi ya kubaki na maswali yangu.sasa wadau mkienda kariakoo na magari yenu,mjue kabisa kuwa hali hivi sasa iko namna hii.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad