HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, December 7, 2012

GWARIDE LA MAANDALIZI YA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA UHURU WA TANZANIA

Kikosi cha paredi cha Jeshi la wananchi la Tanzania (JWTZ) Kikipita mbele ya maofisa wa Vyombo vya ulinzi na Usalama wakati wa gwaride la majaribio la kuadhimisha miaka 51 ya Uhuru wa Tanzania katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam  leo asubuhi ambapo keshokutwa Desema 9 mwaka huu ndio kutakuwa na maadhimisho hayo katika uwanja huo,ambapo Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.
Kikosi cha jeshi la Magereza kikipita mbele ya maofisa hao
Kikosi cha Bendera kutoka Jeshi la Wananchi la Tanzania JWTZ kikipita.
Kikosi cha Wanamaji kikitembea kwa Mwendo wa Polepole.PICHA NA FULLSHANGWEBLOG.COM

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad