HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, December 13, 2012

KITOTO KICHANGA CHAKUTWA KWENYE DAMPO LA TAKATAKA JIJINI MBEYA LEO, MAMA WA MTOTO BADO HAJULIKANI ALIKO. MASHUHUDA WA TUKIO HILO WAANGUA KILIO KWENYE DAMPO HUKU WAKILAANI KITENDO HICHO

MWILI WA KICHANGA HICHO, UKIWA UMEFUNIKWA NA KITENGE CHA MWANAMKE ALIYEHUSIKA KUKITUPA KITOTO HICHO.
 BAADHI YA WAKAZI WA KATA YA IYELA MTAA WA MAPAMBANO WAKIWA NA HUZUNI KUBWA BAADA YA KUFIKA ENEO KILIPOTUPWA KICHANGA HICHO.
MWENYEKITI WA MTAA WA MAPAMBANO EXSON MWAKALOBO AKIWASILIANA NA JESHI LA POLISI KWA AJILI YA HATUA ZAIDI ZA UCHUNGUZI.PICHA KWA HISANI YA MBEYA YETU BLOG.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad