HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, December 13, 2012

WAANDISHI WATAKIWA KUIBUA CHANGAMOTO ZA VIZIWIWASIOONA!

Afisa wa Mipango (CBR Program Officer) wa Taasisi ya Kimataifa Inayojihusisha na kuwasaidia Viziwiwasioona Benjamin Kihwele, akitoa mafunzo kwa waandishi wa habari waliohudhuria mafunzo juu ya shida wanazozipata viziwi wasioona na namna ya kukabiliana nan a tatizo hilo nchini sambamba na kujadili ukubwa wa tatizo.
Mwakilishi Mkazi wa Taasis ya Kimataifa Inayojihusisha na kuwasaidiwa viziwiwasioona nchini (SENSE INTERNATIONAL ) Christopher Andendekisye, akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari wakati wa mafunzo juu ya shida wanazozipata viziwi wasioona na namna ya kukabiliana na tatizo hilo nchini sambamba na kujadili ukubwa wa tatizo pamoja na vyanzo vya matatizohayo.
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria mafunzo hayo ya siku moja leo jijini Dar es Salaam wakifuatilia kwa makini ili kuweza kuelewa vizuri mada zilizokuwa zikiwasilishwa kwenye semina hiyo.
Mwakilishi Mkazi wa Taasisi ya Kimataifa ya Sense (aliyekaa) akiwaonyesha Video Waandishi wahabari inayoonesha watoto viziwiwasioona na changamoto wanazokabiliana nazo kwenye maisha ya kila siku. Waandishi walishitushwa na changamoto zilizopo kwenye ulemavu wa aina hiyo na kuitaka serikali kugeuzia macho kwenye utoaji huduma kwenye eneo hilo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad