| Hawa wafanya biashara kulikoni Ubungo? wameshindikana au? hata mbuyu ulianza kama mchicha watarudi tena wahusika wasipojipanga. |
| Tuta hili la mchanga kwenye mto msimbazi eneo la Kigogo halina sababu yakuendelea kuwepo wahusika liondoeni! |
| Yaleyaleeeee! Gereji katikati ya barabara ni kwenye bonde la Kigogo kuelekea Msimbazi Center. |

No comments:
Post a Comment