Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto), akimkabidhi Cheti cha Ushindi,Meneja Rasilimali Watu wa Shirika la Taifa la Hifadhi za Jamii (NSSF),Dominic Mbwette baada ya Shirika hiyo kupata Ushindi wa Mwaka wa uwajibikaji kwa jamii, katika hafla ya utopaji tuzo za Mwajiri Bora Tanzania 2012 zilizofanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Friday, December 14, 2012
Home
Unlabelled
NSSF yashinda tuzo ya Mwaka katika uwajibikaji kwa jamii
NSSF yashinda tuzo ya Mwaka katika uwajibikaji kwa jamii
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment