Baadhi ya wanafunzi wahitimu wa mafunzo
ya uandishi wa habari kwenye Chuo Cha Uandishi wa habari Cha Times
(Times School of Journalism) wakifuatilia mahafali ya 12 ya Chuo hicho
yaliyofanyika leo jijini Dar es Salaaam, ambapo wanafunzi wa Stashahada
na Astashaha wamehitimu.
Wadau wakipozi baada ya kula Nondozzzzz!
Mgeni rasmi kwenye mahafali hayo
Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba nchini Deus Kibamba akizungumza na
wazazi, wanafunzi na wahitimu wa Masomo wa Chuo hicho kwenye mahafali
yaliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Wakifuatilia hotuba ya Mgeni Rasmi
kwenye mahafali hayo.
No comments:
Post a Comment