Wanafunzi wa Chuo Cha SAUT wakimuhoji mtuhumiwa wa Utapeli ambae alitambulika
kwa jina la Ezekiel John, huku akitokwa na damu baada ya kushushiwa kipigo na
wanafunzi hao.
Akiondolewa eneo la tukio na kupelekwa polisi kwa hatua zaidi za kisheria.
Akionyesha hati zake na barua feki ambazo zote zina utata na huzitumia kufanyia utapeli huo.
Akijieleza.
No comments:
Post a Comment