Familia ya bwana na bibi Paul kirigini wa Jijini Dar es salaam wanasikitika kwa kuondokewa na binti yao mpendwa Daniela Paul (pichani) aliefariki jana huko nchini India,alikokwenda kwa matibabu!
Mwili wa marehemu unatarajiwa kuwasili kesho Novemba 16,2012 kwa Ndege ya shirika la Emerates saa 3;30 alasiri.
Shughuli za kuuaga mwili wa marehemu Daniela zitafanyika jumamosi nyumbani kwao upanga Mazengo Road kwenye Flats za BOT.
Tunamuombea kwa Mungu aweze kuiweka Roho ya Marehemu Daniela mahala pema peponi.
-Amen
No comments:
Post a Comment