Meneja Mkuu wa Kampuni ya Travelport, Eliasaph Mathew
akizungumza wakati wa semina ya siku moja kuhusu teknolojia mpya ya kuuza tiketi kwa kutumia simu ya mkononi iliyofanyika jijini Dar es Salaam, pamoja na kukuza
ushirikiano wa kibiashara na Shirika la Precision Air na kuhudhuriwa na mawakala wa mashirika ya ndege jijini Dar es Salaam
Mwakilishi wa kampuni ya Wakala wa Ndege ya Tan Travel, , Paul Walden akichangia mada katika semina hiyo
Wadu wakifuatilia mada
Baadhi ya wafanyakazi wa Precision Air walioshiriki semina hiyo wakiwa katika picha ya pamoja
KaimuMeneja wa Taifa wa Mauzo wa Precision Air, Ibrahim Bukenya akimkabidhi tiketi ya ndege, mwakilishi wa kampuni ya uwakala wa ndege ya Moon Travel, Amina Saleh
HONGERANI SANA TRAVELPORT KWAKUTUJALI.
ReplyDelete