HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, November 27, 2012

Mh. Lowassa aongoza Hatambee ya kuchangia ujenzi wa bweni la wanafunzi wa kike katika Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji,jijini Mbeya

Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiongoza harambe ya kuchangia ujenzi wa bweni la wanafunzi wa kike katika Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji, kinachomilikiwa na Kanisa la Moravian nchini Tanzania,Jimbo la Kusini Magharibi,usharika wa Ruanda mjini Mbeya.Katika Harambee hiyo,Mh. Lowassa pamoja na marafiki zake wakiweza kuchangia sh millioni 25 kusaidia ujenzi huo.
Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiendesha harambe ya kuchangia ujenzi wa bweni la wanafunzi wa kike katika Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji, kinachomilikiwa na Kanisa la Moravian nchini Tanzania,Jimbo la Kusini Magharibi,usharika wa Ruanda mjini Mbeya.Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Rungwe,Mh. Cripin Meela.
Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akimuhamasisha mmoja wa waalikwa kuchangia katika harambe ya kuchangia ujenzi wa bweni la wanafunzi wa kike katika Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji, kinachomilikiwa na Kanisa la Moravian nchini Tanzania,Jimbo la Kusini Magharibi,usharika wa Ruanda mjini Mbeya.
Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (wa pili kushoto) akifurahia jambo wakati alipokuwa katika Mazungumzo na Askofu Kiongozi wa Kanisa la Moravian Tanzania (KMT), Askofu Alinikisa Cheyo (kushoto) wakati wa hafla ya harambe ya kuchangia ujenzi wa bweni la wanafunzi wa kike katika Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji, kinachomilikiwa na Kanisa la Moravian nchini Tanzania,Jimbo la Kusini Magharibi,usharika wa Ruanda mjini Mbeya..
Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiagana na viongozi mbalimbali wa Chuo hicho mara baada ya kuongoza harambe ya kuchangia ujenzi wa bweni la wanafunzi wa kike katika Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji, kinachomilikiwa na Kanisa la Moravian nchini Tanzania,Jimbo la Kusini Magharibi,usharika wa Ruanda mjini Mbeya.

1 comment:

  1. ENDELEA KUCHANGIA ILA SHETANI WATABEZA KWANI SIKU MOJA KATIKA PITA PITA YAKE MWENYEZI MUNGU AKAKUTANA NA SHETANI MUNGU AKAMUULIZA SHETANI UNAMUONAJE MTUMISHI WANGU AYUBU SHETANI AKAJIBU HANA LOLOTE NI ULE UTAJIRI ALIO NAO UONDOE IWAPO HATAKUFURU MUNGU AKAMPA RUHUSA ONDOA UTAJIRI WAKE ,SHETANI AKAUPUKUTISHA WOTE,PAMOJA WATOTO WOTE ,SIKU NYINGINE MUNGU AKAKUTANA NA SHETANI TENA VIPI MTUMISHI WANGU AYUBU ,SHETANI HAMNA KITU YULE SI KWA KUWA MWILI WAKE HAUJAGUSWA NIPE RUHUSA IWAPO HATAKUKUFURU ,MUNGU AKATOA RUHUSA ILA MOYO WA AYUBU USIUGUSE,SHETANI AKAINGIA KAZINI,AYUBU ALISHUGHULIKIWA MARAFIKI HADI MKEWE WAKAMSHAURI AYUBU AMKUFURU MUNGU ILI AFE ,AYUBU HAKUTHUBUTU MPAKA SHETANI AKAINUA MIKONO MUNGU AKAMBARIKI AYUBU AKAMREJESHEA MALI ZAKE ZOTE NA WATOTO WENGINE KWA HIYO NI UCHURO KUSIFIWA NA BINADAMU UKACHUKIWA NA MUNGU .SINA UHAKIKA IWAPO NILIOWAKUSUDIA WATANIELEWA????????

    ReplyDelete

Post Bottom Ad