Mdau Raphael Mwabuponde ambaye alikukuwa ni Mkurugenzi wa Makampuni ya RM Accounting and Tax Services na MR Shipping and Export LTD,Columbus-Ohio nchini Marekani akitoa msaada wa bidhaa mbali mbali yakiwemo mavazi kwa Watoto waliopo kwenye Kijiji cha Soga,Kibaha Mkoani Pwani.
Mdau Raphael Mwabuponde (kushoto) akizungumza na Baadhi ya Wanafunzi wenye Ulemavu wa Shule ya Sekondari ya Yombo Vituka,Jijini Dar mara baada ya kuwapatia Msaada wa Magongo ya Kutembelea wakati alipoitembea Shule hiyo.
No comments:
Post a Comment