HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, November 27, 2012

HABARI ILIYOTUFIKIA USIKU HUU: MSANII SHAROMILIONEA HATUNAE TENA,AMEFARIKI DUNIA AJALINI MKOANI TANGA

TAARIFA ILIYOTUFIKIA USIKU HUU TOKA JIJINI TANGA,INAELEZA KUWA MSANII WA MAIGIZO NA MUIMBAJI WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA (BONGO FLEVA),HUSSEIN MKIETY 'Sharo Milionea' (PICHANI) AMEPATA AJALI MBAYA MAENEO MUHEZA KATIKA KIJIJI CHA LUSANGA MKOANI TANGA NA KUPELEKEA KUPOTEZA UHAHI WAKE PAPO HAPO.

KWA MUJIBU WA WASANII WENZAKE AMBAO NI MWANADADA SHILOLE NA STEVE NYERERE (KWA WAKATI TOFAUTI), NA BAADAE KUTHIBITISHWA NA KAMANDA WA POLISI MKOA WA TANGA,AMBAPO ALISEMA KUWA NI KWELI AJALI HIYO IMETOKEA JIONI YA LEO NA KUPEKEKEA KIFO CHA MSANII HUYO.

CHANZO CHA KUTOKEA KWA AJALI HIYO,BADO HAKIJAFAHAMIKA.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad