Mkurungenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja katika Benki ya CRDB, Tully Mwambapa akikabidhi cheti kwa mmoja wa wahitimu wa kidato cha nne katika shule ya Sekondari ya Canossa Deborah Muro, baada ya kukabidhi cheki ya Sh.milioni 5 kwa ajili ya ujenzi wa chumba cha kidato cha tano,jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Masoko
Utafiti na Huduma kwa wateja wa Benki
ya CRDB,Tully Mwambapa (kushoto) akikabidhi mfano wa Hundi yenye thamani ya Sh. milioni 5 kwa Mwenyekiti wa Bodi ya shule
ya Canossa
Injinia Machibya Magayane kulia wakati wa mahafali
ya kidato cha nne yaliyofanyika hivi karibuni shuleni hapo.katikati ni Mkuu
wa shule hiyo Sista Angela
Mlipano.
Mkurungenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja katika Benki ya CRDB, Tully Mwambapa, akisoma
risala katika hafla ya kuhitimu kidato cha nne katika Shule ya Sekondaeri ya
Canossa kabla ya kukabidhi cheki ya sh.milioni 5 kwa ajili ya kuchangia ahule
hiyo kwa kujenga chumba cha kidato cha tano Dar es Salaam hivi karibuni. kushoto ni Mkuu
wa Shule hiyo Sr Angela Mlipani na Mwenyekiti wa Bodi ya shule Eng. Dr ,Machibya
Magayane.
No comments:
Post a Comment