HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, November 2, 2012

Maandalizi Redd's Miss Tanzania ndani ya Ubungo Plaza yapamba moto

Jukwaa Umepambwa na umepambika.
Taa za kutosha zinazomulika Jukwaa hilo.
Meneja wa Kinywaji cha Redd's Original,Victoria Kimaro akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa Habari wa Miss Tanzania,Hidan Ricco kuhusiana na maandalizi ya Shindano la Redd's Miss Tanzania 2012 linalotajariwa kufanyika kesho kwenye ukumbi wa Hoteli ya Blue Peal,Ubungo Plaza jijini Dar.
Kamera ni za kumwaga kutoka kwa Star Tv ambao watarusha tukio zima la Redd's Miss Tanzania 2012.
Hili ndilo Van la Star Tv ambalo ni maalum kwa kurusha kila kitakachokuwa kikiendelea ukumbini hapo.
Mashine za Kisasa ndani ya Van hiyo.
Wadau wakiangalia Van ya Star Tv.
Mafundi Mitambo wakiweka sawa mambo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad