HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, November 5, 2012

AIRTEL YATOA VITABU VYENYE THAMANI YA MILIONI 12 TSH SHULE ZA SEKONDARI IRINGA

Meneja wa Airtel Kanda za Nyanda za Juu Kusini, Beda Kinunda akizungumza mara baada ya kukabidhi vitabu vya masomo ya Sayansi kwa shule nne Kiponzelo, Wasa, Mgawa and Lyandembela za jimbo la Kalenga mkoani Iringa.
Meneja Mawasiliano wa Airtel Kanda, Jackson Mbando (kulia) akimkabidhi kwa Diwani wa Viti Maalum CCM, Vumilia Mwenda, Tarafa ya Kiponzero, Ifunda Mkoani Iringa. Wanaoshuhudia makabidhian o hayo yaliyofanyika mwishoni mwa wiki ni Katibu wa Mbunge wa Kalenga, Martin. Airttel ilitoa msaada huo wa vitabu kwa shule nne za jimbo la Kalenga mkoani Iringa.
Meneja wa Airtel Kanda za Nyanda za Juu Kusini, Beda Kinunda (kulia) akimkabidhi vitabu vya masomo ya Sayansi Katibu wa Mbunge wa Kalenga, Martin Simangwa Airtel ilitoa msaada huo wa vitabu kwa shule nne za jimbo la Kalenga mkoani Iringa.
Meneja wa Airtel Kanda za Nyanda za Juu Kusini, Beda Kinunda (kulia) akimkabidhi vitabu kwa Mkuu wa shule ya Sekondari Lyandembela iliyopo Ifunda Mkoani Iringa, Adrian Nyakunga. Wanaoshuhudia makabidhian o hayo yaliyofanyika mwishoni mwa wiki ni Katibu wa Mbunge wa Kalenga, Martin Simangwa (wapilki kulia) na Diwani wa Viti Maalum CCM, Vumilia Mwenda. Airttel ilitoa msaada huo wa vitabu kwa shule nne za jimbo la Kalenga mkoani Iringa.
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Lyandembela iliyopo Ifunda mkoani Iringa, wakisaidiwa na Meneja Mahusiano wa Airtel Jackson Mbando (kushoto) kushusha vitabu vya masomo ya Sayansi na Hisabati vilivyogawiwa katika Shule nne katika jimbo la Kalenga Mkoani Iringa mwishoni mwa wiki.
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Lyandembela iliyopo Ifunda mkoani Iringa, wakionesha vitabu vya masomo ya Sayansi na Hisabati vilivyogawiwa katika Shule nne katika jimbo la Kalenga Mkoani Iringa mwishoni mwa wiki na kampuni ya Simu za Mkononi ya Airtel.Kulia ni Diwani wa Viti Maalum Vumilia Mwenda

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad