HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 8, 2012

Warembo wa Redd's Miss Tanzania watembelea Mlima Kilimanjaro

Afisa Msaidizi wa Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA),Eva Mallya akitoa maelezo kwa Warembo wanaowania Taji la Redd's Miss Tanzania 2012,juu ya Utaratibu wa Upandaji Upandaji wa Mlima Kilimanjaro.Warembo hawa walitembelea eneo hilo la Mwanzo wa Mlima Kilimanjaro uliopo Marangu kwa ajili ya kujifunza mambo mbali mbali ya utalii wa ndani.
Baadhi ya Warembo wanaowania taji la Redd's Miss Tanzania 2012 wakizungumza na baadhi ya wabeba Mizigo ya Watalii mbali mbali waliofika kwenye Lango kuu la Kupanda Mlima Kilimanjari,lililopo Marangu Mkoani Kilimanjaro.Warembo hawa wametembelea eneo hilo la Mwanzo wa Mlima Kilimanjaro uliopo Marangu kwa ajili ya kujifunza mambo mbali mbali ya utalii wa ndani.

Baadhi ya Warembo wakiwa Wamebeba Mabegi mithili ya Watalii wanaopanda mlima Kilimanjaro.
Baadhi ya Warembo wa Redd's Miss Tanzania wakiwa kwenye picha ya Pamoja na Baadhi ya Watalii waliokuwa wakirudi kutoka mlima Kilimanjaro.
 Warembo katika pozz
Warembo wakiwa kwenye picha ya Pamoja.
Warembo wakiondoka eneo hilo la Mwanzo wa Upandaji wa Mlima Kilimanjaro. 

2 comments:

  1. Unapanda mlima na open-shoes na t-shirt fupi!? Ni mlima gani unapanda? AIBUUUUUUU!!!! Jamani Watanzania tuamke...

    Greetings From Italy

    ReplyDelete
  2. nani anapanda mlima kavaa viatu vya wazi??? tatizo nini? hata raba za bata mmeshindwa kuvaa??? Kha!

    ReplyDelete

Post Bottom Ad