HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 8, 2012

NDOVU YAWAPA RAHA WANYWAJI WA BIA HIYO JIJINI ARUSHA

Meneja wa bia ya Ndovu Pamela Kikuli (kulia), akibadilishana mawazo na Denise Rosiello miongoni mwa wadau wa kinywaji hicho pamoja na mdau mwengine kushoto wakati wa promosheni hiyo.
 Baadhi ya wageni waalikwa wakipokelewa eneo maalum ambapo walipata na kinywaji hicho.
Meneja wa bia ya Ndovu Pamela Kikuli, akishuhudia wageni waaalikwa na wateja wakinywaji hicho wanavyohudumiwa mara baada ya kuwasili kwaenye tamasha maalum la promosheni ya bia hiyo Mkoani Arusha mwishoni mwa wiki, ambapo wateja wakinywaji hicho walikusanyika pamoja na kuburudika.
Msanii wa kundi la Dance Team Africa la Arusha akionyesha mbwembwe zake kwenye kucheza miziki ya aina mbalimbali wakati wa tamasha maalum promosheni ya bia ya ndovu kwa wateja wa kinywaji hicho na wageni waalikwa jijini Arusha mwishoni mwa wiki.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad