Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akishiriki katika matembezi ya hisani ya kuchangisha fedha kwa ajili ya
kujenga uwezo wa Wahandisi wa Tanzania, yaliyoandaliwa na Wahandisi hao
(Local Engineers). Matembezi hayo yalianzia katika Viwanja vya Karimjee
jijini na kumalizikia katika Viwanja vya Leaders Club Kinondoni, jijini
Dar es Salaam, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Moahammed Gharib
Bilal,akimkabidhi cheti, Mhandisi Grace Beo, kutoka Kampuni ya Temesa
ICT Engineer, akiwa ni mmoja kati ya waliochangia na kushiriki vyema
katika zoezi la kuchangisha fedha kwa ajili ya kujenga uwezo wa
Wahandisi wa Tanzania, yaliyoandaliwa na Wahandisi hao (Local
Engineers). Makamu alikabidhi vyeti hivyo baada ya kuhitimisha rasmi
matembezi hayo ya hisani yaliyoanzia katika Viwanja vya Karimjee na
kumalizikia kwenye Viwanja vya Leaders Club Kinondoni jijini Dar es
Salaam, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Moahammed Gharib
Bilal,akimkabidhi cheti, Mhandisi Morgan Nyonyi, kutoka Shirika la
Nyumba la Taifa (NHC), akiwa ni mmoja kati ya waliochangia na kushiriki
vyema katika zoezi la kuchangisha fedha kwa ajili ya kujenga uwezo wa
Wahandisi wa Tanzania, yaliyoandaliwa na Wahandisi hao (Local
Engineers). Makamu alikabidhi vyeti hivyo baada ya kuhitimisha rasmi
matembezi hayo ya hisani yaliyoanzia katika Viwanja vya Karimjee na
kumalizikia kwenye Viwanja vya Leaders Club Kinondoni jijini Dar es
Salaam, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akishiriki mazoezi ya viungo baada ya kumaliza kushiriki na kuhitimisha
matembezi ya hisani ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kujenga uwezo wa
Wahandisi wa Tanzania, yaliyoandaliwa na Wahandisi hao (Local
Engineers). Matembezi hayo yalianzia katika Viwanja vya Karimjee jijini
na kumalizikia katika Viwanja vya Leaders Club Kinondoni, jijini Dar es
Salaam, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja ya kumbukumbu na Wahandisi (Local
Engineers) baada ya kuhitimisha matembezi hayo katika viwanja vya
Leaders Club Kinondoni, jijini Daar es Salaam leo.Picha na Muhidin
Sufiani-OMR
No comments:
Post a Comment