HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, October 20, 2012

SEIF KABELELE AWA MENEJA MPYA WA MWANAMUZIKI STEVE RnB

Huyu ndie meneja mpya wa Mwanamuziki Steve RnB , anaitwa Seif Kabelele, Kuanzia sasa ndiye atakayesimamia Kazi za Muziki za Msanii Steve RnB.
 Steve RnB, Mwanamuziki aliyetamba kwenye ngoma ya Tabasamu aliyoshirikishwa na Mr Blue.
 Mwanamuziki Kutoka Tanzania katika miondoko ya RnB Steve RnB leo amepata Manager mpya ambaye atakuwa akisimamia kazi zake zinazohusiana na muziki wake. Manager Wake Mpya anaitwa Seif Kabelele.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad