HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, October 13, 2012

Mtoto Rashid Athuman Hamisi amepotea


 Mtoto Rashid Athumani Hamisi (12) pichani, amepotea katika mazingira ya kutatanisha baada ya kutoweka nyumbani kwao Kiwalani Minazi Mirefu anakoishi na Bibi yake Bi. Zamoyoni.

Rashidi ni mwanafunzi wa darasa la nne katika shule ya msingi kisutu jijini Dar es Salaam. Tunaomba msaada wa jamii, mtu yeyote atakayemuona atoe taarifa katika kituo cha polisi Kiwalani Minazi Mirefu au katika msikiti wa eneo hilo.

Pia kwa mawasiliano ya simu 0713972201, 0783165655, 0762944781 na 0784531188. Rashid ni mtoto wa Mhariri wa Picha wa kampuni ya magazeti ya TSN, Athumani Hamisi, aliyepata ajali ya gari 2008.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad