Washiriki
wa shindano la Redds Miss Tanzania 2012 wakipita katika maeneo
mbalimbali ya kiwanda cha Bia cha TBL mjini Arusha wakati walipofanya
ziara maalum. Warembo hao wapo Mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea
Vivutio vya utalii na kuhamasisha utalii wa ndani nchini.

Afisa Usalama mahali pa kazi wa Kampuni ya Bia Tanzania Tawi la TBL Arusha, Heavy Kasena akiwapa maelezo ya shughuli mbalimbali zinazofanywa na Kiwanda hicho cha TBL mjini Arusha warembo wa wanaowania taji la Redds Miss Tanzania 2012 walipotembelea kiwanda hicho jana.
Mshiriki
wa shindano la Redds Miss Tanzania 2012, Mary Chizi akicheza mchezo wa
pool dhidi ya Timu ya TBL Arusha. Warembo hao jana walitembelea kiwanda
hicho cha Bia cha TBL mjini Arusha wakati walipofanya ziara maalum.
Warembo hao wapo Mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea Vivutio vya
utalii na kuhamasisha utalii wa ndani nchini.
Washiriki
wa shindano la Redds Miss Tanzania 2012, wakicheza mziki aina ya Kwaito
mara baada ya kumaliza ziara yao ya kutembelea Kiwabnda cha TBL cha
mjini Arusha jana. Warembo hao wapo Mikoa ya Kanda ya Kaskazini
kutembelea Vivutio vya utalii na kuhamasisha utalii wa ndani nchini.






No comments:
Post a Comment