| Bondia MEDY SEBYALA wa UGANDA akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na THOMAS MASHALI litakalofanyika kesho katika ukumbi wa Friends corner hotel pambano la Ubingwa wa Africa mashariki. |
| Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na jonas Segu kulia utakaofanyika kesho. |

| Bondia Jonas Segu kushoto na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakitunishiana misuri baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho katika ukumbi wa Friends Corner,jijini Dar.picha na www.superdboxingcoach. |

No comments:
Post a Comment