HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, September 29, 2012

WANAFUNZI WANAVYOKWEPA KULIPA TSH.50 KWENYE KIVUKO CHA KIGAMBONI.

Wanafunzi wa Sekondari za ngg'ambo ya pili ya Dar es Salaam yaani Kigamboni wakila boda kukwepa kulipa Tsh.50 ya kwenye kivuko, huku wakipita kwa shida kwenye uchochoro uliofurika maji.
Wakisepa kiana mchana kweupe kama hawaonekani vile.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad