HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, September 29, 2012

KAMPENI YA MFUKO WA AFYA YA JAMII YAENDELEA LIWALE KATA KWA KATA

Mkuu wa wilaya ya Liwale, Ephrahim Mmbaga, akizindua Kampeni kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii pamoja na kukutana na wanachama wa NHIF, inayofanyika Kata kwa Kata wilayani humo ,Kulia Afisa msimamizi wa Bima ya afya mkoa wa Lindi, Fortunata Raymond,Kaimu Katibu Tawala wilaya na Diwani wa kata ya Liwale B.
Wadau wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wakiwa katika Uzinduzi wa Kampeni ya Uhamasishaji ikiwa pamoja kuongea na wateja unaofanywa na Ofisi ya NHIF Mkoa wa Lindi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad