Kundi la vijana ambao tunaweza kusema ni nguvukazi ya taifa na hawa ni sehemu tu ya vijana wengi ambao hupoteza muda mchana kutwa eneo la feli jijini Dar es Salaam bila ya kazi yeyote kwa kulala kwenye mawe yaliyopo kwenye fukwe hizo. Lakini kwa upande wa kiuchumi inamaanisha kuna fursa nzuri yakua na maeneo boraa ya kupumzika watu nyakati za mchana. 'Kupanga ni kuchagua'
Hawa ni vijana wachache tu kati ya wengi wanaofurika kupoteza muda kwenye eneo hilo.Saturday, September 29, 2012

Home
Unlabelled
INAKUAJE UKIWA NA TAIFA LA WATU WALIOLALA MCHANA?
INAKUAJE UKIWA NA TAIFA LA WATU WALIOLALA MCHANA?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Othmani sasa wewe unafikiri Usiku mzima unazululula mitaani mchana si utalala tuu na hapo umepiga picha bila ya wao kujuwa wangekuona ingelibidi ulipe hela kibao hapa.
ReplyDelete