HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, September 29, 2012

MANISPAA YA ILALA LAWAMANI NI KWAKUTOJENGA SOKO LA FELI LILILOUNGUA MOTO.

 Moshi mzito ni kero inayowakabili wakaanga smaki wa feli kutokana na sehemu ndogo tu iliyokua haijaungua kubanana wakaanga samaki. Halihiyo imedumu kwa zaidi ya mwaka sasa bila kufanymatengeneo ambapo hali huwa mbaya zaidi inaponyesha mvua.
Moshi na Jua ni baadhi ya adha wanazozipata wkaanga samaki ndani ya soko hilo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad