Mafundi wakindelea nakazi ya ujenzi wa barabara ya Kilwa eneo la Mishen kazi inayoonekana kwenda kwa kasi, ujenzi wa barabara hiyo unafanyika mwaka mmoja tu tangu Waziri wa ujenzi Dk.John Magufuli kuikataa barabara hiyo kwa madai ya kuwa chini ya kiwango iliyokuwa ikijengwa na wakandarasi wa Japan.
Usalama kazini kitu cha kwanza.
No comments:
Post a Comment