Raundi abauti ya Michenzani Maghorofani.
Kitu cha Chai Maharage kikiwa kimekula nyomi huku konda wake akining'inia nje.
Sokoni Darajani
Njia ya Kuelekea Mtendeni
Soko la Markiti Darajani.
Mitaa ya Mkunazini.
Mitaa ya Mnazi.
Barabara ya Mkunazini kuelekea Darajani.
Michenzani
Maalim Mie nikikata mitaa ya Zanzibar mchana wa leo.
Nikijiandaa kuchukua kitu cha Chai Maharage kuendelea na Libeneke langu la Mtaa kwa Mtaa.
Watalii wakipitia Ramani ili kujua wanakotakiwa kwenda.
Malindi.
Jamaa akiwahisha mboga nyumbani.
No comments:
Post a Comment