HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, September 2, 2012

Rais Kikwete ashiriki mazishi ya Waziri Mkuu wa Ethiopia,Meles Zenawi leo

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Yoweri Kaguta Museveni wakati wa mazishi ya kiongozi wa Ethiopia marehemu Meles Zenawi yaliyofanyika leo jijini Addis Ababa.

Jeneza la aliyekuwa Waziri mkuu wa Ethiopia Marehemu Meles Zenawi likiletwa katika viwanja vya Addis kwaajili ya maombolezo ya kitaifa kabla ya mazishi yake yaliyofanyika leo.
Askari wa kike akilia kwa uchungu wakati Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Waziri mkuu wa Ethiopia Marehemu Meles Zenawi likiletwa katika viwanja vya Addis kwaajili ya maombolezo ya kitaifa kabla ya mazishi yake yaliyofanyika leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Rais Jackob Zuma wa Afrika ya kusini wakati wa mazishi ya aliyekuwa Waziri mkuu wa Ethiopia Meles Zenawi jijini Addis Ababa leo mchana.picha na Freddy Maro.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad