Wachuuzi wa samaki wa eneo la Somanga wilayani Kilwa wakisaka wateja kwenye mabasi yanayoelekea jijini Dar es Salaam bei ya samaki huanzia kati ya Tsh500 hadi 5000 kwa mmoja.
Abiria wakichagua samaki kutoka kwa wachuuzi wa eneo hilo ambao shughuli za samaki ndio njia kuu ya kukuza uchumi wao kuliko kilimo.
No comments:
Post a Comment