HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, June 17, 2012

WANAFUNZI WA DAR ES SALAAM, INDEPENDENT SCHOOL 2012 WAONYESHA VIPAJI VYAO

Wanafunzi wa Shule ya sekondari ya Dar es Salaam Independent ya jijini Dar es Salaam,carine Maro ambaye aliipuka Mshindi wa kuvaa vizuri kwa upande wa wasichana na Owen Maronga ambaye pia aliibuka mshindi kwa upande wa wanaume wakionyesha vipaji vyao vya kusakata muziki wakati wa hafla ya kujipongeza kwa kumaliza elimu ya Kidato cha Nne na Cha sita hafla hiyomiliandaliwa na Elements Events ya jijini Dar es Salaam.
Michael Kapinga akihojiwa na Mon Rack (kulia) baada ya kuonyesha kipajhi cha hali ya juu cha kuimba,wakati wa hafla ya kujipongeza kwa kumaliza elimu ya kidaoto cha Nne na Sita iliyoandaliwa na Kampuni ya Elements Events iliyofanyika katika Ukumbi wa Litre Theatle Dar es Salaam.
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Dar es Salaam Independent iliyo jijini Dar es Salaam,Owen Karonga na Carine Maro ambao waliibuka washindi kwaa kuwanadhifu katika hafla ya kujipongeza kwa kumaliza elimu ya kidaoto cha Nne na cha sita iliyofanyika katika Ukumbi wa Litre Theatle Oysterbay ,Kulia ni Mkurugenzi wa Elements Events Saida Kapinga ambaye ndiyealiyeandaa hafla hiyo.kushoto ni Mwalimu wa Wanafunzi hao.
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Dar es Salaam Independent ya jijini Dar es Salaam,wakionyesha vipaji vyao vya kusakata muziki wakati wa hafla ya kujipongeza kwa kumaliza elimu ya
kidaoto cha Nne na Sita iliyoandaliwa na Kampuni ya Elements Events katika Ukumbi wa Litre Theatle.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad