HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, June 17, 2012

Lisa Jensen kuiwakilisha tanzania Miss World 2012

 Redd's Miss World Tanzania,Lisa Jensen (katikati) akivishwa taji hilo na Miss Tanzania,Salha Israel katika hafla fupi iliyomalizika usiku huu kwenye kiota kipya cha maraha cha 327,Mikocheni jijini Dar.kulia ni mshindi wa tatu kwenye kinyang'anyiro hicho,Pendo Laizer .
Tano Bora.
Washiriki wote.
 Redd's Miss World Tanzania,Lisa Jensen (katikati) akiwa na mshindi wa pili,Hamisa Hassan na Mshini wa Tatu,Pendo Laizer muda mfupi baada ya kumalizika kwa shindano hilo kwenye kiota kipya cha maraha cha 327,Mikocheni Jijini Dar.

 Miss Tanzania 2011,Salha Israel akimpa neno Redd's Miss World Tanzania,Lisa Jensen muda mfupi baada ya kunyakua taji hilo.

 Tano Bora.

 Jaji Mkuu wa Miss akitangaza tano bora.

 Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania,Fimbo Butallah akizungumza katika hafla hiyo.

Muongozaji wa Shughuli hiyo,Taji Liundi "Mastar T" akiwajibika.

 Majaji Kazini

 Burudani toka kwa madansa wa Wanne Star

 Vijawa wa THT

 Wanne Star akitoa burudani.

 Warembo
 Kikazi zaidi.

 Wadau

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad