HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, June 17, 2012

TBL YATOA MSAADA WA KISIMA CHA SH. MIL 25 HOSPITALI YA MOROGORO

Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Saidi Amanzi (kushoto) akikata utepe kuzindua rasmi kisima kipya kilichochindwa kwa msaada wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kwa gharama ya sh. mil. 25,  kwa ajili ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro, wakati wa hafla iliyofanyika hospitalini hapo jUZI.Kulia ni  Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa TBL, Steve Kilindo  ambaye alikabidhi kisima hicho. Katikati ni Mganga Mkuu wa Hospitali hiyo, Dk. Jofrey Mtei.

Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Saidi Amanzi (kushoto) akifungua maji kutoka katika bomba mara baada ya kuzindua kisima kipya kilichochindwa kwa msaada wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kwa gharama ya sh. mil. 25,  kwa ajili ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro, wakati wa hafla iliyofanyika hospitalini hapo juzi. Anayenawa ni Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa TBL, Steve Kilindo  ambaye alikabidhi kisima hicho.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad