HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, June 22, 2012

RAMADHANI SHAULI AONESHWA MKANDA WA UBINGWA WA IBF AFRICA ATAKAOGOMBANIA IDDI PILI

Bondia Nassibu Ramadhani kushoto na Ramadhani Shauli wakifungua mkanda wa ubingwa wa IBF Africa utakaogombaniwa na Ramadhani Shauli kushoto na bondia Sande Kizito kutoka Uganda picha na .
 
Ramadhani Shauli akiwa na mkanda wa ubingwa wa IBF Africa 

Bondia  Ramadhani Shauli akiwa ameushika Mkanda wa I.B.F Africa wakati ulipokuwa ukioneshwa mbele ya waandishi wa habari baada ya kuwasili Dar es salaam jana ukitokea USA mkanda huo utakaogombaniwa na Shauli na bondia Sande Kizito kutoka Uganda utafanyika siku ya Iddi pili katika ukumbi wa Diamond Jubilee kushoto ni Makamu wa Rais wa  Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBC) Madaraka Nyerere na Promota wa mpambano huo, Mkurugenzi wa Kitwe General Traders, Lucas Rutainirwa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad