HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, May 31, 2012

TAIFA STARS WAONDOKA JIJINI DAR ALFAJIRI YA LEO

Wachezaji wa Kilimanjaro Taifa Stars wakiondoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) leo asubuhi kuelekea Abidjan kwa ajili ya mechi yao dhidi ya Ivory Coast ya kutafuta tiketi ya kucheza Kombe la Dunia. Mechi hiyo inatarajiwa kuchezwa Jumamosi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad