HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, May 30, 2012

Rais Kikwete ampokea Rais Allasane Ouattara wa Ivory Coast jijini Arusha leo

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Ivory Coast,Mh. Allasane Ouattara wakati akimpokea katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro jijini Arusha leo,Rais Ouattara ni mmoja wa wageni mashuhuri wanaohudhuria mkutano wa AfDB unaoendelea jijini Arusha.. Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad